Huyu si mwingine ni mpiga picha wa gazeti la Habari Leo, Mroki Mroki almaaruf Mr. Kidevu, akihangaika na kamera iliyoonekana kumzidia nguvu na kuamua kuifunga mpira katika chuma huku akijihisi ameweka kamera hiyo katika stendi, "ahaa hapa sasa napata picha vizuri" alisikika akisema Mroki. Na nyie waajiri tunashukuru iwapo mnatambua umuhimu wa wapiga picha katika vyombo vya habari, basi jitahidini kuboresha vitendea kazi na iwapo mmefanikiwa kununua kifaa kama hiki, iweje mshindwe kununua na stendi yake hali yakuwa mnafahamu umuhimu wake?, Je akileta picha zote zimeshake mtamlaumu? TUHESHIMIANE KATIKA KAZI kila mmoja katika nafasi yake.
Ndani ya viwanja tisa Vinavyowezesha mbungi la AFCON 2025
-
Morocco inaandaa AFCON 2025 ikitumia viwanja tisa katika miji sita,
ikionyesha miundombinu ya soka ya kisasa na ya aina yake. Ifuatayo ni
orodha ya viwa...
22 minutes ago
No comments:
Post a Comment