Menu

Monday, March 29, 2010

*MAGHOROFA YA JUMUIYA YA KIISLAM YA BILALI, TEMEKE YABOMOLEWA














Baadhi ya wanafamilia waliokuwa wakiishi katika maghorofa hayo wakiwa nje na vyombo vyao.

Wakazi wa Mtaa wa Temeke na Ndalala katika maghorofa ya Jumuia ya Kiislamu ya Bilali, wakiwa na nyuso za masikitiko nje ya waghorofa hayo yaliyopo jirani na Kituo cha Polisi Chang’ombe jijini Dar es Salaam, wakati yalipokuwa yakibomolewa jana.



Mmoja kati ya vijana waliokuwa wakifanya kazi ya ubomoaji huo akiendelea na zoezi la ubomoaji huku familia zilizokuwa zikiishi katika maghorofa hayo zikiwa nje zikihaha kuhamisha vyombo vyao.

No comments:

Post a Comment