Menu

Friday, March 26, 2010

*MAMA SALMA KIKWETE AKIENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA


Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akimsalimia mtoto wakati alipotembelea Kituo cha Afya cha Galapo kilichopo Wilayani Babati, akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Arusha.

No comments:

Post a Comment