Askari wa Jiji wa Manispaa ya Ilala, akimkwida kijana huku akimuongoza kumpeleka kusikojulikana, huku wakikatiza katikati ya mitaa ya Posta leo mchana, Askari hao siku hizi wamekuwa wakidili zaidi na vijana wanaojishughulisha na biashara ndogondogo za mkononi na kuwanyang'anya biashara zao na kisha kutokomea nazo, jambo ambalo lilisha kemewa na Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Kapuya, aliyewataka Mgambo hao kutowanyang'anya biashara zao baada ya kuwakamata.
No comments:
Post a Comment