Menu

Monday, March 22, 2010

*MVUA YA MAFUNGU YAZINGUA LEO DAR














Kutokana na mvua iliyonyesha katika baadhi ya maeneo ya jijini Dar es Salaam leo, ilisababisha baadhi ya barabara kujaa maji, kama inavyoonyesha pichani ni barabara ya Mikochezo eneo la Viwanda ikiwa imejaa maji.


No comments:

Post a Comment