Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kumkuta mwanamke akifanya kazi ambazo awali zikizoeleka kufanywa na wanaume, kama kubeba zege, kufagia barabara, ujenzi, fundi magari na nyinginezo, siku hizi wanadada hata masister du hawabagui kazi ili mradi tu kieleweke. Pichani ni Mwanadada ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiwa juu ya nyumba akipaka rangi katika nguzo za nyumba hiyo iliyopo pembezoni mwa barabara ya Samnujoma, jijini Dar es Salaam leo mchana.
RAIS MWINYI ATOA WITO KUITANGAZA ZANZIBAR KIMATAIFA KUPITIA DIPLOMASIA YA
UCHUMI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali
Mwinyi, amesema Zanzibar ina fursa nyingi za kiuchumi hususan katika sekta
ya Uch...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment