Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kumkuta mwanamke akifanya kazi ambazo awali zikizoeleka kufanywa na wanaume, kama kubeba zege, kufagia barabara, ujenzi, fundi magari na nyinginezo, siku hizi wanadada hata masister du hawabagui kazi ili mradi tu kieleweke. Pichani ni Mwanadada ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiwa juu ya nyumba akipaka rangi katika nguzo za nyumba hiyo iliyopo pembezoni mwa barabara ya Samnujoma, jijini Dar es Salaam leo mchana.
SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA SEKTA YA UCHUKUZI, NIT YATAJWA NGUZO MUHIMU YA
UZALISHAJI WA WATAALAM
-
SERIKALI ya Awamu ya Sita imeahidi kuendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa
katika sekta ya uchukuzi ili kuhakikisha Taifa linakuwa na miundombinu
imar...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment