Menu

Thursday, March 4, 2010

*SOKO LA SAMAKI LA FERI LATEKETEA KWA MOTO DAR















Hivi ndivyo Soko la Samaki la Kivukoni Dar es Salaam, linavyoonekana baada ya kuungua moto jana usiku kutokana na uzembe wa baadhi ya wakaanga samaki sokoni hapo.














Baadhi ya wakaanga samaki katika soko la Kivukoni jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi kuondoa mabaki ya vigae vilivyobomoka wakati soko hilo lilipowaka moto jana na kusababisha upande mmoja wa soko hilo kukuteketea kwa u unaosadikika kusababishwa na mmoja wa wakaanga samaki hao. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo.

No comments:

Post a Comment