Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), Dk. Elifraha Mtalo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo wakati wa akitoa tamko la Taasisi hiyo ya kutounga mkono tamko lililotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), kuhusu kuendesha mgomo wa wafanyakazi nchi nzima, Taasisi hiyo imefikia maamuzi hayo kwa kile ilichodai haikushirikishwa katika kutoa maamuzi kabla ya kutoa tamko hilo. Kushoto ni Kaimu Katibu wa Taasisi hiyo, Kulu Maswanya.
Watanzania,Wachina wakumbuka 65 waliofariki wakijenga Tazara
-
Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,
imeingia makubaliano rasmi na Jamhuri ya Watu wa China kwa ajili ya
kuijenga upya na...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment