Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, akiwasalimia mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyamuswa, Wilayani Bunda mkoani Mara, wakati akielekea mjini Bunda kukagua shughuli mbalimbali za akinamama wajasiriamali wilayani humo juzi.
No comments:
Post a Comment