Menu

Tuesday, April 13, 2010

*KCB BANK YAMTAMBULISHA MWENYEKITI WA BODI BADALA YA JANETH MBENE

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Benki ya KCB, Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa mkutano wa kumtambulisha kushika nafasi hiyo iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi hiyo, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa kuteuliwa, Janeth Mbene.Katikati ni Mkurugenzi wa Benki hiyo, Nikubuka Shimwela (kushoto) ni Mkuu wa Masoko, Christina Manyenye.

No comments:

Post a Comment