Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakivuka kwa taabu kwa miguu na foleni ya magari kwenye daraja la Mbezi Beach eneo la Samaki, lililojaa maji na kupita jii ya daraja hilo kutokana na mvua iliyonyesha juzi na leo jijini na kusababisha maji kujaa katika eneo hilo.
Hili pia ni eneo hilo hilo pichani ni baadhi ya wanafunzi wakiomba lifti katika Pick Up ili kuvushwa katika dara hilo lililojaa maji.
Foleni ya magari ikiwa imefunga katika barabara ya Bagamoyo eneo la Makonde jijini.
Kutokana na mvua zinazoendelea jijini uchafu pia unazidi kukithili kwenye soko la Tandale, pichani ni wazoa takla wakipakia taka hizo kwenye tela la kuhifadhia taka lililopo sokoni hapo, hata hivyo taka hizo zimelalamikiwa na wafanyabiashara wa sokoni hapo kwa kutoondolewa kwa muda muafaka.
No comments:
Post a Comment