Habari za Punde

*TBL YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA GRAND MALT


Meneja Bidhaa wa Grand Malt, Consolata Adam, akifafanua jambo kuhusu kinywaji hicho kinavyoandalihadi kufikia hatua ya kunywewa, wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
David Minja (katikati) akizungumza jambo na wageni waalikwa.

Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na vinywaji.

Mkurugenzi Masoko wa TBL, David Minja akifurahia kinywaji hicho mbele ya warembo baada ya kuzinduliwa.

Warembo walioshiriki kukaribisha wageni katika uzinduzi huo wakipozi kwa picha na vinywaji hivyo.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya TBL, David Minja (kushoto) na Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo, Nicholas Brooks, wakizindua kinywaji kipya cha kampuni hiyo cha Grand Malt, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya TBL, David Minja (kushoto) na Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo, Nicholas Brooks, wakifurahia na kufungua vinywaji hivyo baada ya kuzindua kinywaji kipya cha kampuni hiyo cha Grand Malt, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na vitafunwa.

Kikundi cha Bombeso kikitumbuiza jukwaani.

Wasanii wa kikundi cha Bombeso wakishambulia jukwaa wakati wa uzinduzi wa kinywaji kipya cha Grand Mult, kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam jana usiku.












No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.