
Watoa huduma wa Kampuni ya Nokia, Rose Ambene (kushoto) na Agness Madaraka, wakielekezana jinsi ya kusajili simu za Nokia ili kujiunga katika mtandao wa 'Email ' wakati wakiendesha Promosheni yao ya 'Play with Nokia' katika Ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam leo.

Agness akimsajilia simu ya Nokia katika mtandao mwandishi wa habari wa gazeti la Bingwa Timzoo Kalugila, wakati wa Promosheni hiyo kwenye Ufukwe wa Coco Beach.
TBL NAO WANADI KINYWAJI CHAO KIPYA CHA GRAND MALT, UFUKWENI. 
Muhudumu wa Kampuni ya TBL, Anitha Elias, akinadi kinywaji cha Grand Malt kwa wateja wake katika Ufukwe wa Coco Beach, wakati wa Promosheni ya kinywaji hicho kilichozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
"Kinywaji hiki ni shilingi elfu moja tu jama hebu jaribuni mtakipenda"

Anitha, akinadi kinywaji hicho kwa wateja wake katika Ufukwe wa Coco Beach.
HII NAYO SIJUI YA WAPI JAMANI!????

Madada wa kibongo wakikatiza katika ufukwe wa Coco Beach wakiwa na vivazi vya mitego ya kichokozi, tena mida hiyo ilikuwa ni saa sita mchana je madada hawa ni wazungu kiivyo? kana kwamba hawana kazi za kufanya makwao hadi mida hii wakawa eneo la Becha wakichezea maji?, Huyu wa (kulia), alijitambulisha jina lake kuwa ni Sylivia Ally, mkazi wa Manzese, lakini mazingira haya nadhani ni poa tu jamani ama siyo????.
No comments:
Post a Comment