Habari za Punde

*CCJ WALALAMA KUKOSA USAJILI WA KUDUMU

Msemaji wa chama cha Jamii (CCJ) Fred Mpendazoe, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kauli ya msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, juu ya ofisi yake kukosa fedha za kufanya uhakiki wa wanachama wa chama hicho ili kupata usajili wa kudumu. Picha na Janeth Shekunde

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.