Menu

Tuesday, May 25, 2010

*JK ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Rais Jakaya Kikwete (Katikati), Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Abdirahin Abdi(kushoto) na Spika wa Bunge la Kenya Kenneth Marende (kulia), wakiwa katika viwanja vya Bunge la Kenya Muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili na kupigiwa wimbo wa taifa ambapo baadaye Rais Kikwete alilihutubia bunge la jumuiya hiyo. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment