Menu

Friday, May 28, 2010

*JK AZINDUA MTAMBO WA KUTENGENEZA CEMENT MKOANI TANGA

Rais Jakaya Kikwete, akifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Mtambo Mpya wa kutengeneza Saruji katika kiwanda cha Saruji cha Tanga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini humo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo, Charles Claude. Picha na Fredy Maro.



No comments:

Post a Comment