
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika (kulia) akipata maelezo kutoka kwa msanii na mchongaji Bi. Mwandale Mwanyekwa (kushoto) kuhusu vifaaa mbalimbali yakiwemo mabegi, mikufufu na bangili za wanawake zinazotengezwa kwa vitu vya asili leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha siku ya Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kitaifa katika uwanja wa Mandela mkoani Singida.
PICHA NA ARON MSIGWA-MAELEZO
No comments:
Post a Comment