
Magari yakipita kwa taabu katika barabara ya Kinondoni eneo la Makaburini kutokana na barabara hiyo kuharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini. Manispaa za jijini Dar es Salaam zinajukumu la kurekebisha barabara hizo ili kuepusha usumbufu na msongamano wa magari.
No comments:
Post a Comment