Menu

Wednesday, May 26, 2010

*RITA YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA

Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, akikata utepe kuzindua Mkataba wa Huduma kwa mteja wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), uliozinduliwa jijini Dar es salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Bodi ya ushauri ya Rita 2010-2013, Vicent Mrisho.

No comments:

Post a Comment