Menu

Wednesday, May 19, 2010

*SAHARA AIR CARGO YAZINDUA HUDUMA YA KUBEBA MIZIGO

Meneja Mkuu wa Kampuni ya ndege ya Mizigo ya Sahara Air Cargo, Solomon David (kulia) akijadili jambo na baadhi ya wadau wa sekta ya usafiriwa anga wakati wa hafla ya uzinduzi wa shughuli za huduma za kampuni hiyo kwa Tanzania, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment