Menu

Wednesday, May 12, 2010

*SHINDANO LA KUMSAKA MKALI WA MASHAIRI LAJA DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mpoto Arts Production Ltd, Mrisho Mpoto, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mchakato wa kusaka wawakilishi wa shindano la Mashairi 'Dar Slam Poetry Championship Festival 2010' kuelekea mashindano ya Dunia, ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika Mei 29 mwaka huu katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni. Kulia ni Mkurugenzi wa Alliance Francaise, Didier Martin

No comments:

Post a Comment