Habari za Punde

*TANGA CEMENT YAZINDUA MTAMBO WA PILI WA KUZALISHA SARUJI

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Mary Nagu, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Juerg Fluehmann wakati wa uzinduzi wa mtambo wa pili wa Kampuni hiyo wa kuzalisha Saruji uliopo mjini Tanga, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Charles Naude na mmoja wa wakurugenzi wa Bodi hiyo, Prof Samwel Wangwe.


Dk. Nagu akiendelea kusalimiana na Mkurugenzi Masoko wa kampuni hiyo, Harpreet Duggal.

Hii ilikuwa ni furaha baada ya Dk. Nagu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduai huo kuwasili kwenye viwanja vya Kampuni hiyo.

Dk. Mary Nagu akisalimiana na Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Mtanga Noor, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa mtambo wa pili wa kuzalisha saruji wa kampuni hiyo mjini Tanga mwishoni mwa wiki.

Dk Mary Nagu akiwa na mmoja wa wakurugenzi wa Tanga Cement, Jayne Nyimbo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.