
Baadhi ya wanachama wa Chama cha wanasheria wanawake (TAWLA) wakiwa katika maandamamo wakati wa maadhimisho ya miaka 20 ya Chama hicho yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama cha Wanasheria wakati alipofika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo kumuwakilisha Rais Jakaya kikwete, katika maadhimisho ya miaka 20 ya Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA).
No comments:
Post a Comment