*WAZIRI MKUU ATEMBELEA KUONA UJENZI WA OFISI YA MKUU WA WILAYA MPANDA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto ) wakipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa ,Isuto Damian Mantage, wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi cha wilaya ya Mpanda akiwa katika ziara ya wilaya hiyo leo.
No comments:
Post a Comment