Menu

Wednesday, June 16, 2010

*BIASHARA MATANGAZO BWANA

Hili ni tangazo la biashara naniliu si unalichek? kila biashara ni lazima iwe na matangazo ili watu waweze kuielewa na kukufikia mahala ulipo kama bango hili linavyojionyesha katika nchi jirani.

No comments:

Post a Comment