Brazil anaongoza 2-0 katika mchezo wa kirafiki baina yao na Zimbabwe, hadi sasa mpira ni mapumziko Brazil ikimaliza kipindi hicho cha kwanza ikiwa mbele kwa mabao 2, ambapo goli la kwanza limefungwa na Bastus katika dakika ya 42 na goli la pili likifungwa na Robinho.
Zimbabwe watajilaumu kwa kukosa magoli mawili ya wazi katika dakika za mwanzo za mchezo huo katika kipindi cha kwanza.
TANZANIA, INDIA ZASAINI MAKUBALIANO YA KUENDELEZA TIBA ASILI, WHO YAPONGEZA
-
Na WAF – New Delhi
Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) juu ya
ushirikiano kwenye Sekta ya Afya ili kuendeleza tiba asilia ...
20 minutes ago
No comments:
Post a Comment