Aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, (kulia), akizunguma na familia yake wakati akitoka kwenye Mahakama ya hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam leo, kusikiliza kesi yake inayomkabili ya kusababisha mauaji ya abilia wawili waliokuwa katika Bajaji. Kesi hiyo itasikilizwa tena Juni 18 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment