Menu

Tuesday, June 29, 2010

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwaeleza jambo Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe(CHADEMA) (katikati) na Mbunge wa Kigoma mjini Peter Selukamba nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment