Mexico walicharuka na kuliandama lango la South kila dakika huku mashambulizi yakiwa ni ya zamu kwa timu zote hadi dakika ya 79, Mexico walipofanikiwa kupata bao la kusawazisha kupiti kwa mchezaji wake, Rafael Marquez na kufanya timu hizo kutoka uwanjani zikiwa sawa kwa kufungana 1-1.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrik...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment