Menu

Tuesday, June 1, 2010

*MFUKO WA AFYA WAANDAA KONGAMANO LA KUELIMISHA JAMII JUU YA HUDUMA INAZOTOA

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Clement Mshana,
akiwasilisha mada yake ya Mchango wa Vyombo vya Habari vya Umma
na Binafsi katika kuelimisha jamii, kuhusu huduma za afya
vijijini. Mshana aliwasilisha mada hiyo katika kongamano la
waandishi wa Habari lililoandaliwa na Mfuko wa Bima ya Afya
(NHIF) linaloendelea mjini Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Emmanuel Humba,
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari Waandamizi na Wahariri
juu ya Huduma zitolewazo na mfuko huo wakati wa kongamano la sita
linaloendelea mjini Morogoro leo.


No comments:

Post a Comment