Habari za Punde

*MISS DAR CITY CENTER 2010 KUFANYIKA MOVEN PICK HOTEL JUNI 5

Mratibu wa shindano la kumsaka Vodacom Miss Dar City Center, Catherine John, akizungumza na wandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu shindano hilo linalotarajia kufanyika kwenye Ukumbi wa Moven Pick jijini Juni 5 mwaka huu. Mkutano huo na waandishi wa habari umefanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Savana Mkapa Tower jijini, ambapo shindano hilo litasindikizwa na burudani kadhaa pamoja na Lady Jay Dee.

Paparazi akiwaonyesha baadhi ya warembo hao picha zao baada ya kuwafotoa katika mkutano huo.

Hawa ni baadhi ya warembo hao wanaotarajia kupanda jukwaani Juni 5, kuwania Taji hilo la Vodacom Miss Dar City Center 2010.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.