
Meneja Masoko wa Kampuni ya Beautifull Agency (BTA), Leon Munyetti, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu onyesho la Kisura Night, linaloanza kesho kwenye Ukumbi wa Bilicanas Club jijini Dar es Salaam, ambalo litakuwa likifanyika kila siku ya Alhamis ambapo warembo 'Visura' watapata fulsa ya kuonyesha uwezo wao katika kujiamini na kujitambua. Kiingilio katika onyesho hilo wanaume watalipia sh. 5000 na wanawake 'Dadas' Free yaani Ladies Free. Kulia ni Kisura wa Tanznaia 2009, Dyana Ibrahim.

Dyana Ibrahim akipozi kwa picha.........
No comments:
Post a Comment