
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji, nchi kavu na Majini (SUMATRA), Israel Sekilas, akisoma mada yake kuhusu utaratibu wa usalama wa Reli, wakati wa mkutano wa wadau wa Reli uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya wadau wa Reli wakiwa kwenye chumba hicho cha mkutano.

Wadau wa Reli wakimsikiliza kwa makini, Mkurugenzi wa Sumatra.
No comments:
Post a Comment