
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Taye Taiwo akimiliki mpira mbele ya Dimitrios Salpingidis wa Greece, wakati wa mchezo wa pili wa mzunguko wa kwanza wa Kundi B, uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Free State, Mangaung Afrika ya Kusini. Greece ilishinda mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment