Menu

Thursday, June 3, 2010

*TUZO YA UBORA YA KAMPUNI YA BIA TBL YAWASILI NCHINI

Meneja wa bia ya Ndovu, Oscar Shelukindo (katikati) na Mpishi Mkuu wa bia hiyo, Gaudence Msolwa, wakimkabidhi tuzo ya bia hiyo ‘Grand Gold’ na cheti, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL, Robin Goetzsche, iliyowasili leo jijini Dar es Salaam ikitokea nchini Ujeruman baada ya Kampuni hiyo kushinda kwa ubora. Katikati ni Mkurugenzi Masoko wa Kampuni hiyo, David Minja.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL, Robin Goetzsche, akiznugumza wakati wa hafla hiyo.

Warembo wakisindikiza gari lililobeba tuzo hiyo wakati likiingia katika viwanja vya Kampuni ya TBL.

Warembo waliokuwa wkitoa hudua katika hafla hiyo wakipozi kwa picha.




No comments:

Post a Comment