Haya ndiyo mambo ya Kombe la Dunia, Hata wewe Mdau unaporejea home ukiwa na hamu ya kuangalia gemu kati timu uzipendazo na ukakuta Mamaaa yupo bize na kipindi akipendacho kama Mamushka, utafanyaje ili uweze kumuondoa bila ugomvi nawe uweze kufaidi kile ulichokusudia? hebu mcheki jamaa huyu trik alizotumia hadi kuachiwa luninga na akaendelea kuchek gemu, Click alama ya Play ujionee mwenyeeeewe!
No comments:
Post a Comment