
Mtaalam wa Bidhaa wa Kampuni ya Simu za mkononi Vodacom, Joe Bendera (kulia) akimkabidhi zawadi ya ‘Dishi’ la DStv na Tv, mshindi wa pili Droo ya ‘World Cup Trivia Competition’, Ully Mwaipopo, baada ya kuibuka mshindi katika droo hiyo iliyokuwa ikichezeshwa na Kampuni hiyo. Katikati ni Meneja wa Starfish Mobile, Caros Amri.
No comments:
Post a Comment