Habari za Punde

*VODACOM YAPATA CHETI CHA UAMINIFU CHA JUMUIYA YA A.MASHARIKI

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji cha Taifa (TIC) Ole Naiko (kushoto) akimkabidhi Cheti cha kuaminiwa na kutambulika na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietrof Mare, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Ofisi za TIC jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.