Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, ambaye pia ni Mkuu wa Mfuko wa Vodacom Faundation Tanzania (kulia) akimkabidhi Mfano wa hundi ya Sh. milioni 15, Mwenyekiti wa kijiji cha Kimaroroni, Moris Mathias (Katikati) kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi cha kijiji hicho, kushoto ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamanda.
No comments:
Post a Comment