*WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AKUTANA NA WAHARIRI DAR
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Deodorus Kamala, akizungumza wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, kuhusu utendaji na utekelezaji kazi wa wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne.
No comments:
Post a Comment