
Mwalimu Margaret Lubeleje (kulia) anayefundisha watoto katika Mahabusu ya watoto wadogo ya Upanga jijini Dar es Salaam, akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Meneja wa Huduma za Jamii wa Kampuni ya simu za mkononi, Zain Tanzania, Tunu Kavishe (kushoto), wakati kampuni hiyo ilipotoa msaada wa vitabu mbalimbali katika mahabusu hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyoadhimishwa jana.
Picha kwa hisani ya Zain
No comments:
Post a Comment