*ZOEZI LA UTOAJI DAMU KUCHANGIA MAMA NA MTOTO LAFANYIKA LEO DAR
Mhudumu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, akimtoa Damu mkazi wa jijini Dar es Salaam, wakati wa zoezi la utoaji damu lililojulikana kama ‘Changia Damu okoa Maisha ya Mama na Mtoto’, lililofanyika kwenye Viwanja vya Biafra Kinondo leo.
No comments:
Post a Comment