Hii ni moja ya kati ya usafiri makini unaotengenezwa na wataalam wa nchi fulani na ukitumia mafuta ya petroli, huku kila kitu kikiendeshwa kama pikipiki nyinginezo hapa usafiri huu ulikutwa umeegeshwa nje ya Hoteli fulani hivi wakati mmiliki wa usafiri huo alipofika mahala hapo kupata msosi...... Mdau je Bongo tunaweza????
Eti Farasi huyu nae pia ni Benzi, Mmiliki wa farasi huyu anadaiwa kujisikia kama amepanda usafiri wa Gari aina ya Benzi kila anapokuwa amepanda farasi huyu....
Eti jamani Tangazo hili linamaana gani? hawa raia kweli inamaana wote hawajui kusoma ama ni dharau tu ili ikitokea Tsunami wengine ooh! aaah! tena kuonyesha msisitizo hebu angalia mtoto huyu ndiyo kwaaaanza amepanda kabisa juu ya tangazo hilo kuonyesha ni jinsi gani hawaelewi maana ya tangazo lenyewe.....
No comments:
Post a Comment