Gali la kikosi cha zima moto lenye namba za usajiri STK 4372,likiwa limepinduka katikati ya barabara ya Morogoro eneo la Magomeni wakati likiwa katika harakati za kuwahi tukio la ajali ya moto Jijini Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa gari hilo lilikuwa likiwahi kuzima moto na wakati likiwa katika mwendo lilikuta foleni eneo hilo la Magomeni na kuamua kupita upande wa pili wa magari yanayorudi huku likiwa katika mwendo mkali na ghafla lilikatiza gari dogo mbele yake na kumfanya dereva wa gari hilo kushindwa kumudu na kutokea ajali hiyo iliyowafanya askari waliokuwamo ndani kujeruhiwa.
Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiangalia gari hilo lililopinduka.......
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
NI SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA
-
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya
Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Mashujaa
Queens jion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment