Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Afrika ya Kusini nchini, Carol Rath, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo wakati wa maadhimisho ya Siku Kimataifa ya Nelson Mandela iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee, ambapo baadhi ya waalikwa walichangia mada iliyotolewa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Chris Maina. Kushoto kwake ni Profesa huyo, (katikati) ni Mwakilishi wa UNFPA nchini, Dk Julitta Onabanjo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Begum Taj. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
*MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA NELSON MANDELA YAFANYIKA DAR
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Afrika ya Kusini nchini, Carol Rath, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo wakati wa maadhimisho ya Siku Kimataifa ya Nelson Mandela iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee, ambapo baadhi ya waalikwa walichangia mada iliyotolewa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Chris Maina. Kushoto kwake ni Profesa huyo, (katikati) ni Mwakilishi wa UNFPA nchini, Dk Julitta Onabanjo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Begum Taj. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MATANGAZO MADOGO MADOGO
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
BLOGU RAFIKI
-
-
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA DIWANI AGNES NASANIA WILAYANI IRAMBA - WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania, iliyofanyika kat...3 hours ago
-
Hadithi ya Benki ya NMB Yatinga Jukwaa la Cambridge. - *Cambridge, Uingereza* Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amesema hatua inayofuata ya ukuaji wa Afrika itategemea...12 hours ago
-
BILA AMANI HAKUNA MAENDELEO: KULINDA UTULIVU NDIO SILAHA YA TANZANIA KUFIKIA UCHUMI WA TRILIONI MOJA - Serikali imesisitiza kwa dhati kuwa amani na utulivu wa nchi ndio msingi mkuu na nguzo muhimu itakayofanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendel...13 hours ago
-
NI PSG MABINGWA TENA LIGI YA MABINGWA ULAYA, ARSENAL 'YAFA KIUME' - TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, maarufu kama UEFA Champions League baada ya ushindi wa penalti...1 day ago
-
NBAA na BoT Wajadili Teknolojia katika Sekta ya Fedha - Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), imeandaa semina ya pamoja uliyowakutani...1 week ago
-
Michezo : Zawadi Ligi ya Muungano Kuboreshwa - Na; Mwandishi Wetu, Unguja WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema msimu ujao wa Ligi ya Muungano utaboresh...1 week ago
-
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...5 months ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...1 year ago
-
-
BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI - * Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto), akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na...6 years ago
-
MSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI - Cathbert Kajuna To:amichuzi,othmanmichuzi,MUHIDIN MICHUZI,Geofrey Adroph Bcc:fungoomar@yahoo.com May 15 at 6:00 AM Msanii Diamond akipagawisha mashabiki wa...8 years ago
-
RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA JCA NA BALOZI WA JAPAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shini...8 years ago
-
JOSE MOURINHO HAS REPORTEDLY 'SHOKED' SOME OF HIS MANCHESTER UNITED PLAYERS - *Jose Mourinho might have hoped for a longer honeymoon at Manchester United, but three defeats in a row, in the space of a week, have led to the first maj...9 years ago
-
TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI - Je? Unaumwa au unasumbuliwa na matatizo yoyote kiafya? Unahitaji msaada wa haraka, tuna virutubisho sahihi kuondoa magonjwa kama kisukari, presha, uvimb...9 years ago
-
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE' - Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo ambal...11 years ago
-
SIMBA ILIPOWASHANGAZA MASHABIKI WA SOKA JANA,ILIPOCHOMOA MABAO 3 NA KULAZIMISHA SARE YA 3-3 - * Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akiwania mpira na kipa wa Simba Abel Dhaira, wakati wa kipindi cha pili cha mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanza...12 years ago
-
-
-
-
No comments:
Post a Comment