Mossi Alli, akikimbiza Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili katika kijiji cha Fukayosi Wilaya Bagamoyo juzi, Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kutoa hati za kumiliki mashamba na uzinduzi wa jingo la Masijala ya Ardhi ya kijiji hicho litakalotumika kwa ajili ya kuhifadhi hati miliki za Ardhi za kimira, lililojengwa na Mpango wa Kursimisha Rasilimali za Wanyonge Tanzania . (MKURABITA).
Kimataifa : Rais Samia Aondoka Kuelekea Urusi kwa Ziara ya Kitaifa
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nye...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment