Habari za Punde

*SERIKALI NA IRANI YA AJIRA ZA VIJANA MILIONI 1

Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga, akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo mchana kuhusu mambo mbalimbali ya wizazra hiyo ikiwa ni pamoja na Serikali ilivyoweza kutengeneza ajira kama ilivyoahidi katika uongozi wa awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete, ambapo iliyoahidi kutoa jumla ya ajira zaidi ya milioni 1.Katikati ni Mkurugenzi wa Ajira wa Wizara hiyo Ernest Ndimbo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.