Mwenyekiti wa Shirika lisilo la Kiserikali la for DIA (The Concern for Development in Africa, kwa niaba ya Transparency International, Buberwa Kaiza akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akitangaza Kipimo cha hali ya Rushwa katika nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki. Kulia ni Msimamizi wa Shirika hilo, Michael Madikenya.
BARABARA YA LAMI YA KILOMITA 1.6 KUINGIA HOSPITALI YA JIJI DODOMA
KUCHOCHEA HUDUMA ZA AFYA NA MAENDELEO NALA
-
NALA - DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetekeleza ujenzi wa barabara ya lami yenye
urefu wa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya Bahi hadi Hospitali ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment