Ofisa masoko mwandamizi wa kampuni ya Hyundai, Anthony Nyeupe, akimuelekeza , Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Zantel, William Mpinga, jinsi ya kutumia baadhi ya vifaa vilivyomo ndani ya gari jipya aina ya Tuscon ix35, linaloshindaniwa na wateja wa mtandao huo katika Promosheni ya Dondoka South, wakati wa utambulisho wa zawadi hiyo iliyofanyika kwenye ofisi za Zantel Jijini Dar es salaam leo mchana.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment